Mgongo kati wa Atlantiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Mid-atlantic_ridge_map.png|thumb|200px|[[Ramani]] ya mgongo kati ya Atlantiki.]]
'''Mgongo kati wa Atlantiki''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: ''Mid-Atlantic Ridge'') ni [[safu ya milima]] chini ya [[maji]] ya [[bahari]] ya [[Atlantiki]] inayoelekea kutoka 87°N (333 [[km]] 333 [[kusini]] kwa [[Ncha ya kaskazini]]) hadi [[kisiwa]] cha [[Bouvet (kisiwa)|Bouvet]] kusini mwa [[dunia]] kwenye 54°S.
 
Vilele vya juu vya [[milima]] hiihiyo inaonekanavinaonekana juu ya [[UB]] kama [[visiwa]]. Safu hiihiyo ya milima imetokea mahali ambako [[bamba la gandunia|mabamba ya gandunia]] yanaachana: [[bamba la Ulaya-Asia]] na [[bamba la Amerika ya Kaskazini]] katika Atlantiki ya Kaskazini, halafu [[bamba la Amerika ya Kusini]] na [[bamba la Afrika]] katika Atlantiki ya Kusini.
 
Mabamba hayo yana mwendo wa kuachana na katika nafasi kati yake [[magma]] hupanda juu inayokuwa [[mwamba]] mpya uliosababisha kutokea kwa milima ya safu.
 
Kutambuliwa kwa safu hiihiyo kuliweka [[msingi]] kwa [[nadharia]] ya [[upanuzi wa misingi ya bahari]] unaosababisha [[mwendo wa mabamba ya gandunia]].
[[Picha:Upanuzi msingi bahari.PNG|thumb|left|250px|[[Magma]] inapanda juu penye kuachana kwa [[mabamba ya gandunia]] na kujenga [[safu za milima]] ya migongo chini ya bahari.]]
 
== Visiwa vya mgongo kati wa Atlantiki ==
Visiwa ambavyo ni vilele vya milima ya mgongo huuhuo ni kama vifuatavyo (katika mabano ni majina ya vilele vya juu na [[kimo]]):
'''===Nusudunia ya kaskazini (Atlantiki ya Kaskazini)''':===
#[[Jan Mayen]] ([[Beerenberg]], 2277 m 2277)
#[[Iceland]] ([[Hvannadalshnúkur]] in the [[Vatnajökull]], m 2,109.6 m )
#[[Azori]] ([[Ponta do Pico]] au Pico Alto kwenye kisiwa cha [[Pico (kisiwa)|Pico]], '''m 2,351 m''' )
#[[Bermuda]] (Town Hill kwenye kisiwa cha Main Island, 76 m 76)<br />''(Bermuda ilianzishwailianza juu ya mgongo lakini imesogea mbali sasa)''
#[[Saint Peter and Paul Rocks]] (Southwest Rock, m 22.5 m)
 
'''===Nusudunia ya kusini (Atlantiki ya Kusini)''':===
#Kisiwa cha [[Ascension (kisiwa)|Ascension]] (The Peak, Green Mountain, 859 m 859)
#[[Tristan da Cunha]] ([[Queen Mary's Peak]], '''2062 m''' 2062)
#Kisiwa cha [[Gough (kisiwa)|Gough]] ([[Edinburgh Peak]], 909 m 909)
#Kisiwa cha [[Bouvet (kisiwa)|Bouvet]] ([[Olavtoppen]], 780 m 780)
 
{{mbegu-jio}}