Bamba la Antaktiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:AntarcticPlate.png|300px|thumb|Bamba la Antaktiki]]
'''Bamba la Antaktiki''' ni [[bamba la gandunia]] linalobeba [[bara]] la [[Bara la Antaktiki|Antaktiki]] na sehemu za [[sakafu ya bahari]] jirani.
 
[[Bamba]] hilo huwa na eneo la km<small><sup>2</sup></small>[[Km²]] 60,900,000.
 
Mabamba yanayopakana ni [[Bamba la Nazca]], [[Bamba la Amerika ya Kusini]], [[Bamba la Afrika]], [[Bamba la Australia]] na [[Bamba la Pasifiki]].
 
[[Historia|Kihistoria]] baada ya kuvunjika kwa [[Gondwana]] (sehemu ya [[kusini]] ya bara kuu la kale [[Pangaia]], bamba la Antaktiki lilianza kusogea pale lilipo, kwenye [[Ncha ya kusini|ncha ya kusini ya dunia]], na hivyo kusababisha [[tabianchi]] [[baridi]] kabisa laya Antaktiki. <ref>{{Cite journal|last=Fitzgerald|first=Paul|date=2002|title=Tectonics and landscape evolution of the Antarctic plate since the breakup of Gondwana, with an emphasis on the West Antarctic Rift System and the Transantarctic Mountains|url=http://www.geology.cwu.edu/facstaff/huerta/g501/pdf/Fitzgerald2002.pdf|journal=Royal Society of New Zealand Bulletin|issue=35|pages=453–469|access-date=February 1, 2015}}</ref>
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
[[jamii:Gandunia]]
[[Jamii:Antaktiki]]