Karthago : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Carthage column.JPG|thumb|300px|Maghofu ya Karthago.]]
[[Picha:CarthageMapDe.png|thumb|300px|Mahali pa Karthago na eneo la mamlaka yake mnamo mwaka 264 [[KK]].]]
'''Karthago''' (kwa [[Kilatini]] ''Carthago''; kwa [[Kigiriki]] Καρχηδών ''Karchēdōn''; katika [[lugha]] asilia ya [[Kifinisia]] ''Qart-Hadašt'', yaani "mji mpya") zaidi ya miaka 2000 iliyopita ulikuwa [[mji]] mkubwa katika [[Afrika ya Kaskazini]] karibu na [[Tunis]] ya leo nchini [[Tunisia]].
 
[[Maghofu]] yake yameorodheshwa na [[UNESCO]] kama [[urithi wa dunia]].
 
==Historia==