Watu wazima : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:RudolfMilly.jpg|right|thumb|270px|Kundi la watu wazima.]]
{{vyanzo}}
'''Watu wazima''' [[Biolojia|Kibiolojia]] linaweza kumaanisha [[watu]] wale walio hai, hasa wakiwa na [[afya]] njema, tofauti na [[wafu]] na [[wagonjwa]]. Lakini kwa kawaida linatumika kutofautisha wale waliofikisha [[umri]] au kuwa na uwezo wa kuzaa <ref>https://en.wikipedia.org/wiki/Sexual_maturity</ref> na [[watoto]].
'''Watu Wazima''' Ni neno la [[Biolojia|Kibiolojia]] linalo maanisha ni [[Mtu]] yule aliye fikisha umri au kuwa na uwezo wa kuzalisha kiumbe mwingine [[Kiingereza|kwakiingeleza]] https://en.wikipedia.org/wiki/Sexual_maturity. Hii inaenda mbali zaidi kwa nchi kama [[Tanzania]] utu uzima ni kuanzia miaka 45{{chanzo}}, Wakati huo [[Utoto]] ni kuanzia miaka 0 had 17 na [[Ujana]] ni kuanzia miaka 18 mpaka miaka 40.
 
<ref>https://en.wikipedia.org/wiki/Adult</ref>
Kwa kwenda mbali zaidi, maneno hayo yanatofautisha waliokomaa kiutu<ref>https://en.wikipedia.org/wiki/Adult</ref> na [[vijana]] pia ambao, ingawa [[Ubalehe|wameshabalehe]], hawana [[ukomavu]] ule unaohitajika kukabili [[Jukumu|majukumu]] yote katika [[jamii]], hasa chini ya miaka 18<ref>Human adulthood encompasses psychological adult development. Definitions of adulthood are often inconsistent and contradictory; a person may be biologically an adult, and have adult behavior but still be treated as a child if they are under the legal age of majority. Conversely, one may legally be an adult but possess none of the maturity and responsibility that may define an adult character.</ref>.
 
Kwa msingi huo, [[sheria]] zinawapangia [[haki]] na [[wajibu]] kadiri ya nchi.
 
Kwa nchi kama [[Tanzania]] pengine utu uzima unahesabika kuanza miaka 40, wakati [[utoto]] ni kuanzia miaka 0 hadi 17 na [[ujana]] ni kuanzia miaka 18 mpaka miaka 40.
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
{{commons|adults}}
 
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Saikolojia]]
[[Jamii:Sheria]]