Mbuga ya Patagonia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Cerros Madre e Hija.jpg|right|thumb|300px|
'''Mbuga ya Patagonia'''
Tabianchi inabadilika kutoka magharibi kwenda mashariki. Eneo lote liko kwenye [[kivuli cha mvua]] cha milima ya Andes ambayo inalazimisha [[upepo]] kutoka [[Pasifiki]] kuachana na [[mvua]] yake upande wa magharibi; kwa hiyo sehemu za magharibi karibu na milima ni kavu zaidi, wakati mwingi chini ya [[milimita]] 100 za mvua kwa mwaka. Sehemu
▲[[Picha:Cerros Madre e Hija.jpg|right|thumb|300px| Sehemu ya jangwa kwenye magharibi ya Mbuga ya Patagonia, ambako mvua inazuiliwa na milima ya Andes.]]
▲'''Mbuga ya Patagonia''', pia '''Jangwa la Patagonia''' ni eneo kubwa lenye tabianchi yabisi yaani pakavu likiwa na kilometa za mraba 673,000. Linapatikana katika [[Patagonia]] ambayo ni sehemu ya kusini ya [[Argentina]]. Upande wa magharibi unapakanwa na milima ya [[Andes]] na upande wa mashariki na [[Atlantiki|Bahari Atlantiki]].
Upepo mfululizo kutoka magharibi, upande wa Pasifiki, unakausha [[ardhi]]. ▼
▲Tabianchi inabadilika kutoka magharibi kwenda mashariki. Eneo lote liko kwenye [[kivuli cha mvua]] cha milima ya Andes ambayo inalazimisha upepo kutoka Pasifiki kuachana na mvua yake upande wa magharibi; kwa hiyo sehemu za magharibi karibu na milima ni kavu zaidi, wakati mwingi chini ya milimita 100 za mvua kwa mwaka. Sehemu hizi zinaonyesha tabia ya jangwa kabisa. Kadri Patagonia inaenea upande wa mashariki na kukaribia Atlantiki, mvua hungezeka kiasi ingawa hata upande huu si zaidi ya milimita 300 kwa mwaka. Kadri usimbishaji unaongezeka, uoto unbadilika kuwa na vichaka hadi mbuga ya manyasi. <ref>The Physical Geography of Patagonia and Tierra del Fuego. Andrea M. J. Coronato, Fernando Coronato, Elizabeth Mazzoni and Mirian Vazquez</ref>
Upande wa [[kaskazini]] jangwa
▲Upepo mfululizo kutoka magharibi, upande wa Pasifiki, unakausha ardhi.
▲Upande wa kaskazini jangwa unabadilika polepole kuwa mbuga inayoitwa pampa katika Argentina.
==Tanbihi==
<references/>
{{mbegu-jio-Argentina}}
[[Jamii:Jiografia ya Argentina]]
[[Jamii:Jangwa]]
|