Shaba nyeupe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Brass hadi Shaba nyeupe
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:French horn front.png|thumb|350px|Gunda la Kifaransa la shaba nyeupe]]
[[Picha:Renier de Huy JPG0.jpg|350px|thumb|Beseni ya ubatizo (Ubelgiji, karne ya 12 BK)]]
'''Shaba nyeupe''' (ing. ''brass'') ni [[aloi]] ya [[shaba]] na [[zinki]] .
 
Kiwango cha zinki kinaweza kufikia hadi % 40 lakini hii inaweza kubadilishwa kwa kupata tabia zinazotakiwa.