Shaba nyeupe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:French horn front.png|thumb|350px|Gunda la Kifaransa la shaba nyeupe.]]
[[Picha:Renier de Huy JPG0.jpg|350px|thumb|[[Beseni]] yala [[ubatizo]] ([[Ubelgiji]], [[karne ya 12]] BK).]]
'''Shaba nyeupe''' (ing.kwa [[Kiingereza]]: ''brass'') ni [[aloi]] ya [[shaba]] na [[zinki]] .
 
Kiwango cha zinki kinaweza kufikia hadi [[%]] 40 lakini hii inaweza kubadilishwa kwa kupata [[tabia]] zinazotakiwa.
 
[[Rangi]] ya [[stani]] inategemea kiwango cha zinki. Hadi asilimia 20 za stani rangi yake ni [[kahawia]] hadi kahawia-[[nyekundu]]. Aina hii inaweza kuonekana kama [[Bronzi|bronzi (shaba nyeusi)]]. Juu ya asilimia 36 za stani huwa [[njano]]-[[nyeupe]] na kufanana na [[dhahabu]].
 
Tabia za [[Metali|kimetali]] zinategemea viwango vya stani pamoja na [[plumbi ]] na [[nikeli]] ambazo zinaungwa pia. Nikeli inaboresha kinga dhidi ya [[ulikaji]].
 
== Matumizi ==
Zamani ilikuwa ngumu kiasi kutengeneza shaba nyeupe kwa sababu stani safi haikupatikana kirahisikwa urahisi, kwa hiyo kazi ilikuwa ngumu na ghali kiasi. Kwa hiyo katika [[karne]] zilizopita ilitumiwa zaidi kwa [[Pambo|mapambo]] na [[vyombo]] vilivyotakiwa kuonekana vema bila kuwa na gharama za dhahabu halisi.
 
Siku hizi kuna matumizi mengi katika [[teknolojia]] ya kisasa. Ni [[kipitishi umeme]] kizuri lakini imara zaidi kuliko shaba tupu. [[Antena]] na [[Waya|nyaya]] za shaba nyeupe zinatumiwa katika [[vifaa]] vingi. Shaba nyeupe yenye kiwango cha juu cha stani pamoja na asilimia 1-2 za [[alumini]] hufaa kwa [[beringi]].
Zamani ilikuwa ngumu kiasi kutengeneza shaba nyeupe kwa sababu stani safi haikupatikana kirahisi kwa hiyo kazi ilikuwa ngumu na ghali kiasi. Kwa hiyo katika karne zilizopita ilitumiwa zaidi kwa mapambo na vyombo vilivyotakiwa kuonekana vema bila kuwa gharama za dhahabu halisi.
 
Ilhali ni nyepesi ya kufulika na hailiki haraka inapendwa kwa kutengeneza [[ala za musiki]] kama [[tarumpetatarumbeta]], [[tromboni]] , [[gunda]] au [[saksofoni]] ambakoambapo husifiwa namna ya [[sauti]] inayotokea.
Siku hizi kuna matumizi mengi katika teknolojia ya kisasa. Ni kipitishi umeme kizuri lakini imara zaidi kuliko shaba tupu. Antena na nyaya za shaba nyeupe zinatumiwa katika vifaa vingi. Shaba nyeupe yenye kiwango cha juu cha stani pamoja asilimia 1-2 za [[alumini]] hufaa kwa [[beringi]].
 
[[Ramia]] za [[bunduki]] hutengenezwa pia kwa shaba nyeupe.
Ilhali ni nyepesi ya kufulika na hailiki haraka inapendwa kwa kutengeneza [[ala za musiki]] kama [[tarumpeta]], [[tromboni]] , [[gunda]] au [[saksofoni]] ambako husifiwa namna ya sauti inayotokea.
 
[[Ramia]] za bunduki hutengenezwa pia kwa shaba nyeupe.
 
Katika [[Afrika ya Magharibi]], mafundi na wasanii wa [[Ufalme wa Benin]] walitumia [[bronzi]] kwa vinyago na sanamu zao na mara kadhaa walichezea aloi hadi kufikia pia shaba nyeupe.
 
Katika [[Afrika ya Magharibi]], [[fundi|mafundi]] na [[wasanii]] wa [[Ufalme wa Benin]] walitumia [[bronzi]] kwa [[kinyago|vinyago]] na [[sanamu]] zao na mara kadhaa walichezea aloi hadi kufikia pia shaba nyeupe.
 
==Viungo ya Nje==
*[http://www.brass.org Brass.org]
*[http://www.elektrolux.mk/brass.html Brass]
{{mbegu-kemia}}
 
[[jamii:Aloi]]