Chuma cha pua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:The viaduct La Polvorilla, Salta Argentina.jpg|right|250px|thumb|Daraja la reli nchini Argentina ilitengenezwa kwa kutumia feleji.]]
[[Picha:Paris 06 Eiffelturm 4828.jpg|right|250px|thumb|[[Mnara wa Eiffel]] mwenye kimo cha mita 300 ilikuwa jengo kubwa la dunia; imetengenzewa kwa chumapua tu.]]
[[Picha:Allegheny Ludlum steel furnace.jpg|250px|thumb|Chumapua moto katika hali ya kiowevu yamwagwa kutoka jiko lake.]]
'''Chuma cha pua''' (pia: '''chumapua''', '''feleji''') ni [[aloi]] wa [[chuma]] pamoja na gredi mbalimbali za [[kaboni]] ambayo imekuwa [[uti wa mgongo]] wa [[mapinduzi ya viwandani]]. Hadi leo ni [[msingi]] wa [[mashine]] na [[vifaa]] vingi, pia [[silaha]] zinazounda uwezo wa kijeshi wa [[mataifa]]. Pia [[ujenzi]] wa kisasa hauwezekani bila chuma cha pua.
 
Chuma cha pua ni ngumu kushinda [[chuma]] tupu isiyo na [[kaboni]]. Siku hizi kuna pia aloyaloi za chumapua ambamo [[dutu]] tofauti na kaboni hutumiwa.
 
'''Chuma cha pua''' (pia: '''chumapua''', '''feleji''') ni [[aloi]] wa [[chuma]] pamoja na gredi mbalimbali za [[kaboni]] ambayo imekuwa uti wa mgongo wa [[mapinduzi ya viwandani]]. Hadi leo ni msingi wa mashine na vifaa vingi pia silaha zinazounda uwezo wa kijeshi wa mataifa. Pia ujenzi wa kisasa hauwezekani bila chuma cha pua.
 
Chuma cha pua ni ngumu kushinda chuma tupu isiyo na kaboni. Siku hizi kuna pia aloy za chumapua ambamo dutu tofauti na kaboni hutumiwa.
 
== Historia ya chumapua ==
Kutengenezwa kwa chumapua kulikuwa [[sanaa]] ya pekee kwa [[karne]] nyingi. Silaha kama [[panga]] za chumapua zilikuwa bora kushinda panga za chuma cha kawaida. Vilevile vifaa kama [[visu]] hata jembe[[Jembe|majembe]] vilidumu kama vilitengenezwa kwa chumapua. [[Wahunzi]] walipeana mbinu za kutengeneza chumapua kama [[siri]], kwa mfano kati ya wahunzi wa kijadi[[jadi]] wa [[Wahaya]] wa maeneo karibu na [[Ziwa Viktoria]]<ref>Peter Schmidt and Donald H. Avery: Complex Iron Smelting and Prehistoric Culture in Tanzania, Science Journal, New Series, Vol. 201, No. 4361 (Sep. 22, 1978), pp. 1085-1089 [https://www.jstor.org/stable/1746308?seq=1#page_scan_tab_contents online hapa]</ref>.
 
Tangu [[mwaka]] [[1610]] [[viwanda]] katika [[Uingereza]] vilianza kutengeneza chumapua kwa vingi ikaboreshwa katika miaka 100 iliyofuata. Mbinu huohiyo ulikuwailikuwa msingi wa maendleo[[maendeleo]] ya Uingereza juu ya mataifa mengi mengine mengi katika mapinduzi wa viwandani. Mashine zote zilitengenezwa kwa chumapua.
 
[[Mnara wa Eiffel]] ulikuwa [[jengo]] kubwa la kwanza lililoundwa nakwa chumapua pekee. [[Meli]] za chumapua zilichukua nafasi ya [[jahazi]] za awali za [[ubao]].
 
== Tabia za chumapua ==
[[Tabia]] za chumapua hutegemea na kiasi cha kaboni ndani yake. Kiasi kikubwa cha kaboni husabibisha aloi kuwa ngumu zaidi lakini inavunjika kirahisikwa urahisi pia. Kiasi kidogo cha kaboni husababisha chumapua kuwa laini zaidi lakini inanapukia zaidi.
 
Chumapua cha kawaida huhitaji kiingakinga dhidi ya [[kutu]] kama vile [[rangi]] au kupakwa kwa [[zinki]].
 
Nyongeza za kromi zababisha chumapua kutoshika kutu. Hivyo vifaavyombo vya [[chakula]] kama vile ny[[uma]], visu au [[vijiko]] hutengenezwa na aloi hiyo, pia vifaa vya [[madaktari]] kama vile visu vya [[upasuaji]].
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
{{commons|Steel}}
{{mbegu-kemia}}
 
[[Jamii:Kemia]]
[[Jamii:Aloi]]