Grife : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Slat hadi Grife
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:SlateUSGOV.jpg|right|thumb| Grife ya buluu ]]
[[Picha:Slate_Macro_1.JPG|right|thumb| Grife ya kibichi (6 cm X 4 cm) ]]
'''Grife''' ni [[Mwamba (jiolojia)|mwamba metamofia]] . [[Mwambatope|Imeundwa]] kutoka kwa [[mwambatope]] iliyoathiriwa na [[shinikizo]] kubwa na [[joto]]. Mwambatope mwenyewewenyewe ni [[mwamba mashapo]] unaotokana na [[matope]] ya [[udongo wa mfinyanzi]] ukipasuka kirahisi kwa bapa nyembamba. [[Tabia]] hiyo ya kupasuliwa kirahisi inaendelea katika grife. kwa kuwa chini ya shinikizo na joto la wastani.
 
== Matumizi ==
Bapa za grife inatumiwa katika nchi nyingi sawa na [[vigae]] vya kuzekakuezeka [[paa]] au kufunika [[Ukuta|kuta]] za [[nyumba]] zinazokingwa hivyo dhidi ya [[mvua]]. Bapa nzito zaidi zinafaa kwa kufunika [[sakafu]] ya [[jengo]] au pia kwa kupata uso nyororo wa njia ya kutembea. hutumiwa katika nchi nyingi.
 
Sleti za grife zilitumiwa katika nchi nyingi kama bao za mkononi au ukutani kwa kuandika [[Shule|shuleni]].
 
{{mbegu-sayansi}}
[[Jamii:Miamba]]