Kalenda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 42:
===Kalenda jua-mwezi (lunisolar)===
Hizi ni kalenda zinazolenga kuunganisha mwaka wa jua na mwendo wa majira kwa pande mmoja na awamu halisi za mwezi kwa upande mwingine.
 
Kwa hiyo kalenda hizi zinatumia vipindi vya mwaka vya mwezi yaani miezi halisi 12. Kila baada ya miaka 2 – 3 kuna mwaka mrefu mwenye miezi 13. Kwa njia hii upungufu wa mwaka wa mwezi kulingana na mwaka wa jua unasawazishwa.
Mifano mashuhuri wa hesabu hii ni [[kalenda ya Kiyahudi]] na [[Kalenda ya Kichina]].
 
===Hesabu ya mwaka===