Selulosi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Cellulose Sessel.svg|385 × 178 pixelspx|thumb|Selulosi.]]
'''Selulosi''' (kutoka [[neno]] la [[Kiingereza]] "cellulose"<ref>https://en.wikipedia.org/wiki/Cellulose</ref>) ni [[tishu]] iundayo sehemu kubwa ya [[miti]] na [[mimea]] mingine.

[[Kemia|KikemikaliKikemia]] inaundwa na kuwasehemu nyingi za [[kaboniglukosi]] yenye [[fomula]] (C<sub>6</sub>H<sub>10</sub>O<sub>5</sub>)n zinazounganishwa kuwa molekuli ndefu ([[polima]]).
 
Selulosi inapatikana zaidi kwenye mimea ya kijani na inatengeneza [[kiwambaseli]] cha mmea.
 
Selulosi haiwezi kuliwa na wanyama lakini spishi kadhaa kama vile [[mchwa]] na [[ng'ombe]] hutunza bakteria kwenye tumbo zao zinazovunja molekuli za selulosi kwa sehemu ndogo zaidi zinazoweza kumeng’enywa.
 
==Tanbihi==