Vanadi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 19:
}}
 
'''Vanadi''' ni [[elementi]] na [[metali ya mpito]] yenye [[namba atomia]] 23 na [[alama]] '''V''' katika [[mfumo radidia]] wa elementi. Ni [[metali]] laini na wayaikaji yenye [[rangi]] ya [[Fedha|kifedha]]-[[nyeupe]] inayotokea katika [[madini]] na [[kampaundi]] mbalimbali.
 
Inatumiwa kama sehemu za [[aloi]] za [[chumapua]] mbalimbali inapozuia [[kutu]] na kuongeza [[uwayaikaji]] wa chumapua. Aloi hizihizo zatumiwazinatumiwa kwa vyombo vya kiganga kwa [[upasuaji]], [[kipuri|vipuri]] vya [[giaboksi]], pamoja na [[titani]] katika aloi kwa matimizimatumizi ndani ya [[rafadha]] za [[injini]] za [[Ndege (uanahewa)|ndege]].
'''Vanadi''' ni [[elementi]] na [[metali ya mpito]] yenye [[namba atomia]] 23 na alama '''V''' katika [[mfumo radidia]] wa elementi. Ni [[metali]] laini na wayaikaji yenye rangi kifedha-nyeupe inayotokea katika madini na kampaundi mbalimbali.
 
Vanadi ina pia umuhimu fulani kwa [[miili]] ya viumbe ingawa [[wataalamu]] hawana uhakika bado vanadi inafanya kazi gani mwilini.
Inatumiwa kama sehemu za [[aloi]] za [[chumapua]] mbalimbali inapozuia [[kutu]] na kuongeza [[uwayaikaji]] wa chumapua. Aloi hizi zatumiwa kwa vyombo vya kiganga kwa upasuaji, vipuri vya [[giaboksi]], pamoja na titani katika aloi kwa matimizi ndani ya [[rafadha]] za injini za ndege.
 
Vanadi ina pia umuhimu fulani kwa miili ya viumbe ingawa wataalamu hawana uhakika bado vanadi inafanya kazi gani mwilini.
 
==Picha==
<gallery>
file:Vanadium 1.jpg|Kipande cha vanadi