Jasi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Gypsum hadi Jasi
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Gypse_Caresse.jpg|thumb|250x250px| Jasi ]]
'''Jasi''' (ing.''gypsum'') ni madini yanayoptikana mahali pengi ambayo kikemia ni [[sulfati]] ya kalsi . [[Fomula]] yake ni CaSO<sub>4</sub>·2H<sub>2</sub>O. Ni madini laini sana yakiwa na ugumu wa 2 kwenye [[skeli ya Mohs]]. Inaweza kukwaruzwa kwa [[kucha]].
 
Kiasili inapatikana mara nyingi kama fuwele; jasi safi haina rangi lakini ikichanganywa na madini mengine kuna fuwele za rangi kadhaa. Kwa matumizi ya kibinadamu huchomwa ikipatikana baadaye kama unga nyeupe.
 
Jasi hutumiwa katika ujenzi tangu kale, hasa katika [[lipu]]. Katika ujenzi wa kisasa bao za jasi na matofali ya jasi hutumiwa kujenga kuta za ndani zisizobeba mzigo. Kuta hizi za jasi huzuia au kuchelewesha moto ndani ya nyumba. Hutumwa pia kama dawa la kilimo.