Yemen : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 68:
Ile ya [[kusini]] ilikuwa sehemu [[koloni]] ([[Aden]]) na sehemu [[nchi lindwa]] ([[Hadramaut]]) ya [[Waingereza]]. Baada ya [[ukoloni]] kwisha ikawa mara moja Jamhuri ([[30 Novemba]] [[1967]]).
 
Nchi hizo mbili ziliungana tarehe [[22 Mei]] [[1990]], lakini [[uongozi]] ulizidisha [[ufisadi]], na tangu mwaka [[2011]] hali ya [[siasa]] ni tata. [[Vita vya wenyewe kwa wenyewe]] vinaendelea kwa misaada kutoka nchi za nje, hasa kutokana na uwepo wa makundi makubwa adui ya [[Wasuni]] na [[Washia]].
 
Matokeo yake ni njaa kwa wakazi 17,000,000 kiasi kwamba Yemen imehesabika kuwa nchi inayohitaji zaidi misaada ya kibinadamu.
 
==Watu==