Panteno : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Panteno''' (kwa [[Kigiriki]]: Πάνταινος; alifariki [[200]] hivi)<ref>"As he was succeeded by Clement who left Alexandria about 203, the probable date of his death would be about 200. " (''Catholic Encyclopedia'')</ref>) alikuwa mmoja wa [[wanateolojia]] wa kwanza katika [[historia ya Kanisa]].
 
Tangu kale anaheshimiwa na [[Waorthodoksi wa Mashariki]] na [[Wakatoliki]] kama [[mtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake huadhimishwa nao [[tarehe]] [[22 Juni]] na [[7 Julai]]<ref>http://catholicsaints.info/saint-pantaenus-of-alexandria/</ref>.
 
==Maisha==