Japhet Nyang'oro Sudi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Naendelea nayo...
No edit summary
Mstari 1:
'''Japhet NyangoroNyang'oro Sudi"''' (amezaliwa [[18 Januari]] [[1981]], [[Dar es Salaam]]) ni mwandishi wa riwaya za kipelelezi kutoka nchini [[Tanzania]]. Japhet amejizolea umaarufu kwa uwezo wa kubuni riwaya za kipelele huku akimtumia mpelelezi wake mkuu katika riwaya zake nyingi, [[Jacob Matata]].<ref>{{Cite web|title=Page|url=https://somariwaya.co.tz/about.php|work=somariwaya.co.tz|accessdate=2020-01-26}}</ref> Alitoa riwaya yake ya kwanza mnamo mwaka wa 2014 na ilikwenda kwa jina la [[Hekaheka]].
 
Japhet Nyangoro Sudi ni muhitimu wa shahada ya uzamili wa sayansi za kifedha.