Grife : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:SlateUSGOV.jpg|right|thumb| Grife ya buluu ]]
[[Picha:Slate_Macro_1.JPG|right|thumb| Grife ya kibichi (6 cm X 4 cm) ]]
'''Grife''' ([[ing.]] ''slate'') ni [[Mwamba (jiolojia)|mwamba metamofia]]. [[Mwambatope|Imeundwa]] kutoka kwa [[mwambatope]] iliyoathiriwa na [[shinikizo]] kubwa na [[joto]]. Mwambatope wenyewe ni [[mwamba mashapo]] unaotokana na [[matope]] ya [[udongo wa mfinyanzi]] ukipasuka kirahisi kwa bapa nyembamba. [[Tabia]] hiyo ya kupasuliwa kirahisi inaendelea katika grife kwa kuwa chini ya shinikizo na joto la wastani.
 
== Matumizi ==