Mkarakara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa mpya
 
dNo edit summary
Mstari 21:
'''Mikarakara''' au '''mipesheni''' ni [[mmea|mimea]] mitambazi ya [[jenasi]] ''[[Passiflora]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Passifloraceae]]. [[Tunda|Matunda]] yao huitwa [[karakara|makarakara]] au [[pesheni|mapesheni]].
 
Asilia ya mimea hii ni [[Amerika]], [[Amerika ya Kati]] na [[Amerika ya Kusini|ya Kusini]] hasa. Kuna takriban [[spishi]] 550. Siku hizi spishi kadhaa hukuzwa sana katika kanda za [[tropiki]] na hapa [[Afrika ya Mashariki]] [[mkarakara-jeusi]] na [[makarakaramkarakara-tamu]] inajulikana sana na [[mkarakara-njano]] pia tangu mwanzo wa [[karne]] hii.
 
==Spisi zinazakuzwa katika Afrika ya Mashariki==