Benue (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 11:
}}
'''Mto Benue''' (kwa [[Kifaransa]]: '''Bénoué''') ni tawimto mkubwa wa [[mto Niger]]. Chanzo chake ni katika nyanda za juu za Kamerun hasa milima ya Adamawa. Katika sehemuy a kwanza ya mwendo wake unatelemka mita 600 kwa mwendo kali. Karibu na mji wa [[Garua]] unaungana na mto Mayo Kébi. Baada ya mwendo wa 350 km mto unatoka Kamerun na kuingia Nigeria karibu na bandari ya [[Jimeta]]. Hapa mto una upana wa kilomita moja unaoweza kupanua wakati wa mvua. Baada ya Yola mto unapokea tawimto wake muhimu zaidi [[mto Gongola]].
 
Katika Nigeria mto ni njia muhimu ya kubeba mizigo na mazao ya nchi kati ya pwani ya Atlantiki na sehemu za bara.