Nzige-jangwa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza matini
Nyongeza matini
Mstari 48:
 
Kundi moja linaweza kufunika hadi km² 2000 na linaweza kuwa na nzige milioni 40 hadi 80 kwa km². Kundi la km² 500 kwa hivyo lina nzige bilioni 20 hadi 40 na uzito wa tani 40,000 hadi 80,000 ukizingatia wastani wa [[gramu]] mbili kwa nzige. Kutoka kizazi kimoja hadi kingine idadi ya nzige inaweza kuongeza mara 10 hadi 16.
 
Nzige-jangwa wa solitaria hula mimea yenye [[jani|majani]] mapana inayopatikana katika makazi yao ya jangwa. Hawapendi [[nyasi]] sana. Lakini wakiwa gregaria hula mimea takriban yote, pamoja na mazao ya [[binadamu]], na sehemu zote za mimea hiyo: majani, [[ua|maua]], [[tunda|matunda]], [[mbegu]] na [[gome]]. Nzige mmoja hula chakula cha uzito sawa na uzito wa mwili wake. Kwa kisa cha mpevu huo ni [[g]] 2.
 
==Picha==