Jon Moxley : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Huyu ni Jon Moxley au Ambrose akiwa ameshika WWE ''United States Championship'' '''Jonathan David Good'''(amezaliwa Di...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Ambrose USA Champion.jpg|thumb|Huyu ni Jon Moxley au Ambrose akiwa ameshika WWE ''United States Championship'']]
'''Jonathan David Good'''(amezaliwa Disemba 7, 1985) ni mpiganaji wa [[mieleka]] na muigizaji wa [[Amerika]] na amesainiwa kwana ''All Elite Wrestling'' (AEW) na ''New Japan Pro-Wrestling'' (NJPW), ambapo anajulikana kwa jina la [[Jon Moxley]].Katika NJPW,yeye ni [[bingwa]] wa sasa wa ''United States'' wa IWG.Alijulikana sana kwa wakati akiwa kwenye kampuni ya [[WWE]],ambapo alitumia jina la '''Dean Ambrose''' kutoka mwaka 2011 hadi 2019.
 
Mwaka 2011 alisaini [[WWE]],na alitumia jina la '''Dean Ambrose''' na akashindana katika Mashindano ya ''Florida Championship Wrestling'' (FCW) na NXT.Alijiunga katika timu ya [[The Shield]] akiwa na [[Roman Reigns]] na [[Seth Rollins]].