Mkude Simba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 24:
Baadaye akatengeneza filamu zake mwenyewe ikiwa ni pamoja na [[Mbwembwe]], [[Kubwa Jinga]], [[Porojo]], [[Bad Night]] na [[More Than a Lion]].
==Maisha ya awali==
Mkude alizaliwa na jina la 'Musa Yusuph Mahenge' alizaliwa mnamo 30 Disemba 1986<ref>{{Cite web|title=Musa Kitale ‘Kitale’ {{!}} Actor, Commedian, Singer, — Bongo Movies - Buy Tanzania Movies and DVD's Online|url=http://www.bongocinema.com/casts/view/musa-kitale-kitale|work=www.bongocinema.com|accessdate=2020-02-16}}</ref> huko Manzese, Dar es Salaam kwa baba na mama wote [[Walugulu]]. Alisoma katika shule ya msingi TandaleManzese Uzuri, [[Dar es Salaam]] na kuhitimu 2001. Katika familia yao wapo sita, watano wamezaliwa baba na mama mmoja, Kitale wa kwanza--vilevile wa pili kwa upande wa baba kwa sababu alizaa mtoto wa kike kabla ya kumuoa mama'ke Kitale.
==Kazi==
Kitale alianza kuigiza tangu akiwa Shule ya Msingi Uzuri. Alijiunga na Kaole Sanaa Group mnamo 2002. Kipindi angali anaishi Manzese, aliishi karibu na waigizaji maarufu wa kundi la Kaole, Abdallah Mkumbila (Muhogo Mchungu) na akina Swebe Santana. Nyakati hizo, alitamani sana kuigiza baada ya kuwaona walichokuwa wakikifanya. Alivyojiunga Kaole, alikutana na Tuesday Kihangala. Kupitia huyu, ilikuwa rahisi kufanya kazi Kaole. Tues na Mkude wanatoka kijiji kimoja huko Morogoro.