Timo Werner : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
==Timu alizochezea ==
===VfB Stuttgart===
Werner aliwakilisha klabu hiyo katika ngazi mbali mbali za vijana. Katika msimu wa 2012-13, alipandishwa katika upande wa U-19 yaaani chini ya miaka 19 licha ya kuwa alikuwa na umri wa miaka kumi na sita wakati huo. Alifunga magoli 24 wakati alishinda medali ya Dhahabu ya U-17 Fritz Walter mnamo mwaka 2013.<ref> "The rise and rise of RB Leipzig's Timo Werner from Mario Gomez fan to Germany's number one forward"https://www. bundesliga.com/en/news/Bundesliga/rb-leipzig-timo-werner-mario-gomez-germany-world-cup-hope-472028. 16 February 2018. Retrieved 16 February 2018.jsp</ref>
 
===RB Leipzig===
Mnamo tarehe [[11 Juni]] 2016, Werner alikubali mkataba wa miaka minne katika klabu ya RB Leipzig kwa ada ya kuripotiwa ya uhamisho wa milioni 10 na ulikuwa ndo uhamisho mkubwa wa klabu hiyo katika historia.<ref> "Leipzig snare Werner from Stuttgart". Bundesliga. 15 June 2016.</ref>
 
Mnamo [[26 Septemba]], 2016, alikua mchezaji wa kwanza kucheza kwenye mechi 100 za Bundesliga wakati akiwa katika mechi ambayo alicheza dhidi ya FC Köln akiwa na miaka 20 na siku 203 Kwa kufanya hivyo alitoa rekodi ya hapo awali iliyoshikiliwa na Julian Draxler kwa siku 22, ingawa alizidiwa tena na Havertz mnamo [[2019]].
Mstari 19:
Mnamo 2010, alifunga hat-trick yaani magoli matatu kwenye mechi yake ya kwanza ya Ujerumani chini ya miaka 15 kwenye mechi dhidi ya Poland. Miaka miwili baadaye, alikuwa sehemu ya [[timu ya taifa]] ya [[Ujerumani]] iliyomaliza kwa kufanya vizuri katika Mashindano ya Ulaya ya chini ya miaka 17.
 
Werner aliitwa kwenye kikosi kikuu cha Ujerumani mnamo mwaka 2017 na kocha mkuu Joachim Löw akiwa na miaka 21 kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Uingereza na mchezo wa kufuzu [[Kombe la Dunia la FIFA 2018]] dhidi ya Azerbaijan mnamo tarehe [[26 Machi]] 2017.<ref> ""Absolut verdient"https: Löw nominiert Werner erstmals"//www. kickerbundesliga.de (in German). 17 March 2017. Retrieved 10 June 2017com/en/news/Bundesliga/rb-leipzig-timo-werner-mario-gomez-germany-world-cup-hope-472028.jsp</ref>
 
==Tanbihi==