Virusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Jinsi ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi
Mstari 34:
 
Kati ya magonjwa yanayosababishwa na virusi ni [[influenza]] (homa ya [[Mafua ya kawaida|mafua]]) na pia [[UKIMWI]]. Aina kadhaa za virusi zinaweza kusababisha [[saratani]].
 
=Jinsi ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya virusi=
Unashauriwa:
* kunawa mikono mara kwa mara kwa angalau [[sekunde]] 20 kwa [[maji]] na [[sabuni]]. Ukiwa nayo tumia [[dawa]] yenye [[alikoholi]] (si chini ya [[asilimia]] 60) kusafisha mikono.
* kama chanjo cha virusi fulani hatari inapatikana pale ulipo, nenda kukipata
* usiguse [[macho]], pua na midomo kwa mikono kama hujanawa
* epukana kuwa karibu sana na wagonjwa
* wakati ugonjwa mkali wa virusi unazuru katika nchi ulipo, epukana kuwasalimu wengine kwa kushika mikono
* kaa [[nyumba|nyumbani]] ukiwa mgonjwa (ugonjwa wowote - maana kinga chako ni dhaifu katika hali hii)
* tembea na karatasi za [[shashi]] (kama huna, hata karatasi ya choo / toilet paper) uitumie ukikohoa au kupiga chafya, halafu uitupe mahali pa takataka
* safisha mara kwa mara vitu unavyovigusa (vikiwa pamoja na [[kikombe]], [[deski]], [[simu]] yako)<ref>[https://www.cdc.gov/coronavirus/2019-ncov/about/prevention-treatment.html About prevention and treatment], tovuti ya National Center for Immunization and Respiratory Diseases (NCIRD), Division of Viral Diseases, Marekani, iliangaliwa 30 Januari 2020</ref>; kama unayo, tumia dawa la alikoholi (spirit – si konyagi!), lowesha karatasi nayo, futa, tupa
 
==Picha==