Virusi vya Corona : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Kusahihisha jina la virusi a jina la ugonjwa
Mstari 1:
'''Virusi vya Corona''' (kwa [[Kiingereza]]: Coronavirus) ni [[kundi]] la [[virusi]] vinavyoweza kusababisha [[magonjwa]] kwa [[wanyama]] ([[mamalia]] na [[ndege]]) lakini pia kwa [[binadamu]]<ref>{{Cite web|title=Coronavirus|url=https://www.webmd.com/lung/coronavirus|work=WebMD|accessdate=2020-01-28|language=en}}</ref>. Inaaminiwa ni aina ya virusi vilivyohama kutoka kwa wanyama na kuathiri binadamu pia.
 
Virusi vya Corona vipo vya aina mbalimbali, zikiwemo 229E, NL63, OC43, HKU1 na CovidSARS-19Cov-2 <ref>{{Cite web|title=Coronavirus {{!}} About {{!}} Symptoms and Diagnosis {{!}} CDC|url=https://www.cdc.gov/coronavirus/about/symptoms.html|work=www.cdc.gov|date=2020-01-25|accessdate=2020-01-28|language=en-us}}</ref>.
 
==Tabia za pamoja==
Mstari 15:
SARS haijatokea tena tangu mwaka [[2004]].
 
==Covid-19 (2019 Novel Coronavirus SARS-Cov-2)==
Mwisho wa [[mwaka]] [[2019]] lilitokea badiliko jipya la virusi vya corona lililotambuliwa mara ya kwanza [[Mji|mjini]] [[Wuhan]], [[China]]. <ref>{{Cite web|title=Wuhan Coronavirus Can Be Infectious Before People Show Symptoms, Official Claims|url=https://www.sciencealert.com/wuhan-coronavirus-can-be-infectious-before-people-show-symptoms-official-claims|work=ScienceAlert|accessdate=2020-01-28|language=en-gb|author=Julia Naftulin, Business Insider}}</ref> Serikali ya China inalaumiwa kwa kujaribu kuficha ugunduzi huo kwa maagizo yalitolewa tarehe [[2 Januari]] 2020.
 
Aina hiyo ya virusi vya corona iliitwa mwanzoni 2019 Novel Coronavirus (2019-nCoV) na hatimaye ikapewa [[jina]] la SARS-Cov-2, na ugonjwa unaosababishwa nayo Covid-19 <ref>[https://www.aljazeera.com/news/2020/02/covid-19-renames-deadly-coronavirus-200211172638418.html COVID-19: WHO renames deadly coronavirus], tovuti ya Al-Jazeera ya 11-2-2020</ref>. Usambazaji wake ulionekana kuanza kutokana na virusi vya wanyama vilivyofikia binadamu. Magonjwa ya aina hiyo huitwa [[zuonosia]] (zoonotic disease).
 
Wagonjwa walionyesha matatizo kwenye njia ya upumuo; wengine waliathiriwa kidogo tu, lakini wengine waligonjeka vibaya hadi kufa. [[Dalili]] zilizotambuliwa hadi mwisho wa [[Januari]] [[2020]] ni pamoja na homa, kukohoa na ugumu wa kuvuta [[pumzi]]. Inaonekana dalili za ugonjwa zinaweza kuanza takriban siku 2 hadi 14 baada ya kuambukizwa. Walio hatarini zaidi ni watu waliodhoofishwa na magonjwa mengine au wenye mfumo dhaifu wa kinga mwilini kwa sababu nyingine, kwa mfano [[umri]] mkubwa.