Virusi vya Corona : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 43:
* kunawa mikono mara kwa mara kwa angalau [[sekunde]] 20 kwa [[maji]] na [[sabuni]]. Ukiwa nayo tumia [[dawa]] yenye [[alikoholi]] (si chini ya [[asilimia]] 60) kusafisha mikono.
* usiguse [[macho]], pua na midomo kwa mikono kama hujanawa
* epukana kuwa karibu sana na wagonjwa, ikiwezekana epukana kuingia katika msongamo mkali wa watu maana wenye virusi hawaonekani kirahisi.
* kaa [[nyumba|nyumbani]] ukiwa mgonjwa (ugonjwa wowote - maana kinga chako ni dhaifu katika hali hii)
* tembea na karatasi za [[shashi]] (kama huna, hata karatasi ya choo / toilet paper) uitumie ukikohoa au kupiga chafya, halafu uitupe mahali pa takataka