Mzingo elektroni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[FileImage:Bohr-atom-PARElectron shell 011 Sodium.svg|thumb|Mfano Modeliwa atomu ya [[Ernest Rutherford|Rutherfordnatiri]] naNa [[Niels(sodiamu) Bohr|Bohr]] ya atomi ya haidrojeni ikionesha piayenye mizingo elektroni.mitatu]]
'''Mzingo elektroni''' (kwa [[Kiingereza]]: ''electron shell'') ni maeneo ya [[atomi]] ambayo [[Kemia|kikemia]] [[elektroni]] hukadiriwa kupatikana humo, maeneo haya huchukua [[Umbo|maumbo]] ya [[duara]] yakikizunguka [[kiini cha atomi]] ndani ya [[elementi]].
 
Duara hizi hudhaniwa kuwa kama obiti. Kila obiti au mzingo huwa na idadi ya juu ya elektroni zinazoweza kuzunguka mle:
mzingo wa kwanza (wa ndani zaidi, iliyo karibu zaidi na kiini) hupokea elektroni hadi 2, mzingo wa pili hadi 8, mzingo wa tatu hadi 18.
 
Elektroni kwenye mzingo wa nje zinatawala tabia za kikemia za atomu. Mzingo huo ni mzingo valensi unaotawala [[valensi]] yaani uwezo wa atomu kushikana na atomu nyingine.
 
Kama mzingo wa nje unajaa nafasi zote ni atomu thabiti ambazo hazimenyuki kirahisi na elementi nyingine, kwa mfano [[gesi adimu]] au [[metali adimu]].
 
 
{{mbegu-kemia}}