Kiwavijeshi wa Afrika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 47:
 
==Udhibiti==
Awamu ya gregaria ya kiwavijeshi wa Afrika inachukuliwa kuwa wadudu wasumbufu kwa [[kilimo]] kwa sababu ya idadi kubwa na tabia yao ya kujilisha. Zamani dawa za kiuawadudu za bei rahisi zinazoua wadudu aina nyingi, kama DDT, BHC na dieldrin, zilitumika kulenga viwavi, lakini njia hizi zinategemea kipimo na zina athari mbaya kwa afya ya binadamu na mazao. Siku hizi viuawadudu vipya vinapulizwa mara nyingi, kama vile [[azadirakhtini]] na maji yenye uto wa [[mbegu]] za [[mwarobaini]] (''Azadirachta indica''). Sasa njia ya udhibiti wa kibiolojia inapatikana pia katika umbo la [[w:nucleopolyhedrovirus|nucleopolyhedrovirus]] wa ''S. exempta'' ([[w:African armyworm#SpexNPV|African armyworm#SpexNPV]]), ugonjwa wa asilia ambao huambukiza spishi hii. Virusi hii huzalishwa nchini [[Tanzania]], lakini matumizi yake hadi sasa imekuwa ya kukatisha tamaa. Mawakala wa [[serikali]] wanapendelea kutumia dawa za kikemikali zilizoingizwa kutoka nje, ambayo huwaruhusu kuweka [[mfuko]]ni [[asilimia]] fulani.
 
==Picha==