Tofauti kati ya marekesbisho "Kituo cha Anga cha Kimataifa"

no edit summary
 
==Ujenzi wa kituo==
Kilianza kujengwa kwa kuunganisha sehemu zilizobebwa angani kwa [[roketi]] tangu [[Novemba]] [[1998]]. Sehemu ya kwanza ilikuwa kitengo cha Kirusi chenye [[injini]] na nafasi ya kutunza [[fueli]] ikafuatwa na vitengo viwili kutoka Marekani na Urusi vyenye nafasi ya kukaliwakutunz\ na [[wanaanga]]. Sehemu zilizofuata na kuunganishwa na kiini hiki zilibebwa kwa [[feri ya anga]] [[Space Shuttle]] ya Marekani na roketi za Kirusi. Tangu mwisho wa mradi wa Space Shuttle [[safari]] zote zinategemea roketi za Kirusi.
 
Tangu mwaka [[2011]] ukubwa wake ni mnamo [[mita]] 110 x 100 x 30. Kinazunguka Dunia kila baada ya [[dakika]] 92. Kuna mpango wa kuongeza kitengo cha Kirusi cha [[maabara]] katika mwaka [[2019]].
 
==Muundo==
Kimsingi [[umbo]] la ISS ni [[mcheduara]] kama [[bomba]] ndefurefu iliyounganishwalililounganishwa kutokana na vipande mbalimbali. Nje ya bomba ndefurefu kuna [[mikono]] mikubwa inayobeba [[paneli za sola]] zinazozalisha [[umeme]] unaohitajika kwa [[kazi]] ya [[vifaa]] na [[mashine]] za kituo. Mikono mingine inabeba [[rejeta]] zinazohitajika kupoza [[joto]] linalipokelewalinalopokewa na upande wa kituo kinachoangzwakinachoangazwa na [[Jua]].
 
Nyongeza nyingine nje ya silinda kuu ni [[antena]] na vyumba vya [[maabara]] vilivyoongezwa kando.
 
==Mipango ya kuondoa kituo kwenye anga==
Kwa sasa imepangwa kutumia kituo hadi mwaka [[2024]]. Imepangwa kuangusha kituo duniani kwa kulenga kwenye maeneo ya [[kusini]] ya [[Bahari ya Pasifiki]]. Kuna uwezekano kutumia [[vyombo vya anga]] vinavyosukuma kituo kuelekea panapotakiwa.
 
==Shughuli kwenye ISS==