Wikipedia:Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili (Universal Code of Conduct) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
Mstari 1:
Karibu katika ukurasa unaoelezea nia ya Taasisi ya Wikimedia Foundation kuanzisha "Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili" (kiing. Universal Code of Conduct). Ni jambo lililotumwa kwa jumiya zote za Wikimedia (ikiwemo jumuiya hii) ili kuzipa jumuiya hizo nafasi kujadili na kutoa maoni juu ya jambo hilo.
Baada ya kusoma mwongozo hapa chini, iko nafasi ya kujadili pendekezo hilo na unakaribishwa ku [https://sw.m.wikipedia.org/w/index.php?title=Majadiliano_ya_Wikipedia:Mwongozo_wa_Kimataifa_wa_Mwenendo_na_Maadili_(Universal_Code_of_Conduct)&redlink=1#/editor/all toa'''Toa maoni yako katika Ukurasa wa majadiliano kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Mwenendo na Maadili'''].
 
 
==Utangulizi kuhusu '''Mwongozo Wa Kimataifa Wa Nidhamu Na Maadili'''==