Content deleted Content added
Tag: 2017 source edit
Tag: 2017 source edit
Mstari 1,082:
 
:::::Sawa basi ngoja ibakie jumapili kama ilivyo kwa sasa, mwanzo nilidhani kuwa kuna siku nyingine katikati ya wiki ya Wikipedia. Asante! MagoTech Tanzania 23:08, 18 Februari 2020 (UTC)
 
Habari za siku ndugu. Samahani sana nilipata dharura nikaondoka Morogoro. Sitokuwepo kwa mda kwa maana hiyo sitoweza kuhudhuria katika mikutano ya klabu ya Wikipedia kwa shuleni Alfagems. Samahani sana kwa usumbufu ulio na unaoweza kujitokeza.
Nitawatembelea pindi ntakapo rejea tena. Asante MagoTech Tanzania 12:59, 16 Machi 2020 (UTC)