Ndugu, hakuna haja ya kuunga kurasa zetu na List of 3,800 rivers of Kenya kwa sababu hiyo imechukuliwa moja kwa moja kutoka Orodha ya Wikipedia ya Kiswahili: Mito ya Kenya. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:49, 14 Februari 2020 (UTC)Reply

Ndugu, naomba uamue wewe nani apewe tuzo kwa makala za jana. Asante na amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 06:20, 17 Februari 2020 (UTC)Reply

Tangazo

hariri
Habari ndugu Mwanawikipedia!

Mimi ni mwezeshaji wa mradi uitwao Mwongozo Wa Kimataifa Wa Mwenendo Na Maadili. Ni mradi mchanga/mpya ambao Shirika la Wikimedia Foundation linanuia kuuanzisha endapo wadau wataona ni mradi unaofaa. Nakukaribisha usome mwongozo huo na kisha utoe maoni yako kwa kujibu maswali yote au baadhi yake kwa yale utakayopenda kuyatolea maoni HAPA

Taarifa zaidi kuhusu Mwongozo wa Kimataifa wa Nidhamu na Mwenendo

Shirika la Wikimedia Foundation lina mpango wa kuanzisha Mwongozo Wa Kimataifa Wa Mwenendo Na Maadili. Lengo la mwongozo huo ni kujaribu kuainisha vitu vya msingi vinavyopatikana katika miongozo midogo midogo iliyopo tayari katika kila jamii husika (mfano Jumuiya yetu hii ya wahariri wa Wikipedia ya Kiswahili). Lengo hasa la mwongozo huu ni kutengeneza mazingira ambayo wanawikipedia wote duniani watakuwa na uelewa wa pamoja juu ya vitu vya msingi kuhusu nini kinakubalika na kipi hakikubaliki wakati wa uchangiaji (uhariri) wa Wikipedia na pale wanawikipedia wanapowasiliana kwenye Wikipedia au ana kwa ana katika warsha na mikutano ya Wanawikipedia. Wazo hilo limekuja baada kukithiri kwa baadhi ya Wanawikimedia kukumbana kufanyiwa unyanyasaji wa kitabia (mfano matusi, kuitana majina yasiyofaa, kutishiana n.k) na Wanawikimedia wenzao, hivyo kuwakatisha tamaa ya kuendelea kuchangia katika miradi ya Wikimedia.Hivyo, wewe kama mdau muhimu katika miradi ya Wikimedia Foundation, unakaribishwa ku soma zaidi kuhusu mwongozo huo Hapana baada ya kuusoma mwongozo huo unaweza ku toa maoni yako Hapa kabla ya tar 15 April 2020.

Mwaliko wa kujiunga na kundi la Wahariri wa Wikipedia

Nakukaribisha ujiunge na kundi la Wahariri wa Wikipedia kutoka Dar es Salaam ili tuweze kujadiliana na kubadilishana uzoefu na mambo kadha wa kadha kuhusu Uhariri wa Wikipedia. Iwapo utapenda kujiunga, usisite kuwasiliana nasi kupitia wikitzagroup@gmail.com, na kwa taarifa zaidi kuhusu kundi la Wahariri wa Wikipedia wa hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla na miradi waliyoitekeleza tayari, unaweza tembelea hapa ukurasa wao wa meta uitwao Wikimedia Community User Group Tanzania au pia katika Facebook kwa jila la Wikimedia Tanzania.

Ndimi AMtavangu (WMF) (majadiliano) 17:09, 5 Aprili 2020 (UTC)Reply

Ndugu, naona unapenda kutunga ukurasa kuhusu ushoga. Sijui kama tunahitaji kuuhamasisha. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 05:22, 28 Machi 2021 (UTC)Reply

Hapana haupaswi kuhamasishwa. Lakini, tukiangalia makala zilizotolewa kutafasiliwa hawa wote niliowaandika hawakuwa katika kundi la mashonga. Wakati nafanya tafasili ndo nimekuwa nikikutana na habari za ushoga. Nadhani kuna haja ya waandaaji kuwa wanaangalia kiundanj hizi makala wanazotoa tutafasili. Amani kwako pia ndugu MagoTech Tanzania 06:42, 28 Machi 2021 (UTC)

Michango yako, jamii na interwiki

hariri

Asante kwa michango yako. Lakini nimeona mifano ambako ulisahau interwiki, pia umeweka pekee jamii ya mwaka wa kuzaliwa. Ambayo haisaidii sana. Naomba urudie kupitilia zote na kuangalia interwiki pamoja na jamii. Kuhusu interwiki tazama Msaada:Interwiki.

Kuhusu jamii: jamii ya mwaka pekee haisaidii sana. Angalau umpange kila mmoja kwa kuandika chini ya makala Jamii:Wanawake wa NCHI HUSIKA (katika mabano mraba yaani [[Jamii:Wanawake wa Wanawake wa NCHI HUSIKA]]). Ukiweza kuelewa Mfumo wa Jamii heri kuunda jamii zinazotaja kazi ya wahusika; lakini hapo unahitaji kuunganisha jamii mpya na jamii za juu. Ukiwa na swali, uliza! Kipala (majadiliano) 21:41, 29 Machi 2021 (UTC)Reply

Habari ndugu.
Asante sana kwa maelekezo muhimu. Naahidi kuyafanyia kazi MagoTech Tanzania 01:54, 30 Machi 2021 (UTC)
Arif Lohar: asante kwa mchago, lakini afadhali utafakari jamii unazotumia!! Si lazima kuanzisha jamii zote zilizopo enwiki, lakini angalau asionekane katika jamii fulani ya Watu wa Pakistan??Kipala (majadiliano)

Hongera

hariri

Napenda kukupongeza kwa juhudi zako katika Wikipedia, ila hakikisha kwamba makala zieleweke kwa Kiswahili. Unavyojua, tafsiri ya kompyuta haisaidii sana. Endelea kuangalia kama pengine ninarekebisha michango yako ili uzidi kukomaa. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:28, 16 Aprili 2021 (UTC)Reply

Asante. Samahani kama kuna makala haikueleweka lakini naahidi kujitahidi kuwa makini zaidi katika makala zijazo. MagoTech Tanzania 16:14, 16 Aprili 2021 (UTC)

Zabron'sPedia

hariri

Ndugu, naona uliona vema kumpongeza Zabron'sPedia kwa kazi yake. Hali halisi nimepitilia makala mbili ambazo zilikuwa makala mabaya. Anajua kutumia vvyanzo kutoka enwiki, lakini anapakua lugha mbaya kasia, sioni faida ya kuongeza makala za aina hiyo akimwaga google translate bila kuisoma. Naomba sana pitilia makala zake uondoe maudhui ambayo hayaeleweki. Pia hatumii interweiki hana viungo vya ndani. Kipala (majadiliano) 19:52, 24 Juni 2021 (UTC)Reply

Naomba ntazipitia makala zake upya MagoTech Tanzania (majadiliano) 20:07, 24 Juni 2021 (UTC)Reply

Wanariadha

hariri

Karibu tena baada ya kimya kirefu. Angalia nilivyorekebisha makala zako. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 10:11, 1 Novemba 2021 (UTC)Reply

Asante ndugu. MagoTech Tanzania (majadiliano) 10:15, 1 Novemba 2021 (UTC)Reply

Congrats for organizing Feminism and Folklore 2022 now whats next ?

hariri

Dear Organizers,

Congratulations on successfully organizing Feminism and Folklore 2022 on your local Wikipedia language. Here are few things that you need to look around during the contest.Make sure that all submissions follow the set of rules as mentioned below and are related to the theme of the project.

  1. The expanded or new article should have a minimum 3000 bytes or 300 words.
  2. The article should not be purely machine translated.
  3. The article should be expanded or created between 1 February and 31 March.
  4. The article should be within theme feminism or folklore.Articles will be accepted if it either belongs to Folklore or Feminism.
  5. No copyright violations and must have proper reference as per Wikipedia notability guidelines.

Please refer to the set of rules and guidelines from here. During the contest if you face any issue or have queries regarding the project please feel free to reach out on Contact Us page. Feminism and Folklore team will be assisting you throughout the contest duration. We thank you for your numerous efforts which you have put in for making this project successful.

Best wishes

Rockpeterson

MediaWiki message delivery (majadiliano) 05:52, 12 Februari 2022 (UTC)Reply

Feminism and Folklore 2022 ends soon

hariri
 

Feminism and Folklore 2022 which is an international writing contest organized at Wikipedia ends soon that is on 31 March 2022 11:59 UTC. This is the last chance of the year to write about feminism, women biographies and gender-focused topics such as folk festivals, folk dances, folk music, folk activities, folk games, folk cuisine, folk wear, fairy tales, folk plays, folk arts, folk religion, mythology, folk artists, folk dancers, folk singers, folk musicians, folk game athletes, women in mythology, women warriors in folklore, witches and witch hunting, fairy tales and more

Keep an eye on the project page for declaration of Winners.

We look forward for your immense co-operation.

Thanks Wiki Loves Folklore international Team MediaWiki message delivery (majadiliano) 14:28, 26 Machi 2022 (UTC)Reply

Feminism and Folklore 2022 has ended, What's Next?

hariri
Please help translate to your language
 

Dear Magotech,

Feminism and Folklore 2022 writing competition has ended. We thank you for organizing it on your local Wikipedia and help in document folk cultures and women in folklore in different regions of the world on Wikipedia. What's next?

  1. Please complete the jury on or before 25th April 2022.
  2. Email us on wikilovesfolklore@gmail.com the Wiki usernames of top three users with most accepted articles in local contest.
  3. You can also put the names of the winners on your local project page.
  4. We will be contacting the winners in phased manner for distribution of prizes.

Feel free to contact us via mail or talkpage if you need any help, clarification or assistance.

Thanks and regards

International Team
Feminism and Folklore

--MediaWiki message delivery (majadiliano) 16:19, 6 Aprili 2022 (UTC)Reply

Hello,
Thank you for the reminder! MagoTech Tanzania (majadiliano) 10:10, 12 Aprili 2022 (UTC)Reply

Thanks for organizing Feminism and Folklore

hariri

Dear Organiser/Jury

Thank you so much for your enormous contribution during the Feminism and Folklore 2022 writing competition. We appreciate your time and efforts throughout the competition to bridge cultural and gender gap on Wikipedia. We are sending you a special postcard as a token of our appreciation and gratitude. Please fill out this form by July 20th 2022 to receive a postcard from us. We look forward to seeing you in 2023 next year.

Stay safe!

Gaurav Gaikwad.

International Team

Feminism and Folklore MediaWiki message delivery (majadiliano) 13:50, 10 Julai 2022 (UTC)Reply

Sigebati III

hariri

Ndugu, asante kwa kupitia makala yangu hiyo, ila si lazima ukurasa wa Kiswahili ufanane na ule wa Kiingereza! Halafu ni afadhali uongeze habari bila ya kuondoa zilizopo tayari. Pia jitahidi kwanza kuelewa vizuri Kiingereza kwa sababu ulichokuwa umetafsiri hakikuwa na maana ya wazi. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:59, 26 Julai 2022 (UTC)Reply

Sawa Asante.
MagoTech Tanzania (majadiliano) 15:12, 26 Julai 2022 (UTC)Reply
@Riccardo Riccioni Ayamujaribuku fafnuanasitu elewezaidi 41.243.52.151 06:49, 24 Machi 2023 (UTC)Reply

Salamu ya "Karibu"

hariri

Habari naona uliweka salamu ya Karibu kwenye ukurasa wa mtumiaji M SQUARE MWINYI. Hatufanyi hivyo, tunatakiwa kutumia ukurasa wake wa majadiliano. Kuandika au kutoandika kwenye ukurasa wa mtumiaji ni juu yake mwenyewe. Kipala (majadiliano) 08:05, 20 Agosti 2022 (UTC)Reply

Salama,
Ni kweli nilikosea na nlirekebisha. Asante kwa kunikumbusha. MagoTech Tanzania (majadiliano) 08:14, 20 Agosti 2022 (UTC)Reply
Haya, nimeona, asante. Kipala (majadiliano) 08:16, 20 Agosti 2022 (UTC)Reply

Tuwe macho makala zilizotafsiriwa kwa kompyuta

hariri

Habari naona uliweka alama ya "tafsiri kompyuta" kwenye Mitandao ya kijamii isiyojulikana. Ilhali machafuko ya tafsiri za google yamezidi tumeona afadhali kufuta kuliko kuvumilia, kama sisi wenyewe hatuna muda au nia ya kusahihisha makala ili ieleweke vema.

Kwa jumla uone Msaada:Tafsiri_ya_kompyuta. Nitashukuru ukiweza kupeleka makala zisizofaa (yaani tafiri ya kompyuta iliyo dhahiri bila masahihisho ya kutosha) kwenye ukurasa wa ufutaji. Mwingine atakagua na kuamua. Kipala (majadiliano) 11:29, 8 Septemba 2022 (UTC)Reply

Invitation to organize Feminism and Folklore 2023

hariri
 
Please help translate to your language

Dear Magotech,

Christmas Greetings and a Happy New Year 2023,

You are humbly invited to organize the Feminism and Folklore 2023 writing competition from February 1, 2023, to March 31, 2023. This year, Feminism and Folklore will focus on feminism, women's issues, and gender-focused topics for the project, with a Wiki Loves Folklore gender gap focus and a folk culture theme on Wikipedia.

You can help Wikipedia's coverage of folklore from your area by writing or improving articles about things like folk festivals, folk dances, folk music, women and queer folklore figures, folk game athletes, women in mythology, women warriors in folklore, witches and witch hunting, fairy tales, and more. Users can help create new articles, expand or translate from a list of suggested articles.

Organisers are requested to work on the following action items to sign up their communities for the project:

  1. Create a page for the contest on the local wiki.
  2. Set up a fountain tool or dashboard.
  3. Create the local list and mention the timeline and local and international prizes.
  4. Request local admins for site notice.
  5. Link the local page and the fountain/dashboard link on the meta project page.

This year we would be supporting the community's financial aid for Internet and childcare support. This would be provided for the local team including their jury and coordinator team. This support is opt-in and non mandatory. Kindly fill in this Google form and mark a mail to support@wikilovesfolklore.org with the subject line starting as [Stipend] Name or Username/Language. The last date to sign up for internet and childcare aid from our team is 20th of January 2023, We encourage the language coordinators to sign up their community on this link by the 25th of January 2023.

Learn more about the contest and prizes on our project page. Feel free to contact us on our meta talk page or by email us if you need any assistance.

We look forward to your immense coordination.

Thank you and Best wishes,

Feminism and Folklore 2023 International Team

Stay connected     

--MediaWiki message delivery (majadiliano) 10:11, 24 Desemba 2022 (UTC)Reply

Jamii:Wanaharakati Wanawake

hariri

Ndugu, nimeona umeanzisha jamii hii baada ya kuondoa kiungo cha jamii hiyo katika makala zako za mwisho. Kwa jumla, naona si muhimu kuzidi kutofautisha jinsia katika jamii za Wikipedia, lakini ukipenda unaweza kujaza jamii hiyo kwakuangalia jamii:Wanaharakati ambamo wengi ni wanawake. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:10, 24 Desemba 2023 (UTC)Reply

Salaam, asante kwa maelezo hayo.
Nitaifanyia kazi kama ulivyonishauri. Amani kwako. MagoTech Tanzania (majadiliano) 14:11, 24 Desemba 2023 (UTC)Reply

Invitation to Organize Feminism and Folklore 2024 Writing Competition

hariri
 
Please help translate to your language

Dear Magotech,

Hope you are doing well, Wishing you a Happy New Year!.

We extend a heartfelt invitation to you to organize the Feminism and Folklore 2024 writing competition, which is scheduled to take place from February 1, 2024, to March 31, 2024. This year's edition of Feminism and Folklore will concentrate on feminism, women's issues, and gender-focused topics, aligning with a Wiki Loves Folklore gender gap focus and featuring a folk culture theme on Wikipedia.

This year we have created two new Tools for the Feminism and Folklore project. The tool is called Campwiz. This tool is created by the international Tech team of Wiki Loves Folkore especially crafted for Feminism and Folklore project. The tool works as same as fountain or dashboard but has extra abilities required for jury and submission of articles.

To create a new campaign on Campwiz, organizers to follow these steps:

  1. Go to the tool link: https://tools.wikilovesfolklore.org/
  2. Select your wiki on which you want to organize the campaign (enter the name or short code, such as "sw" for Kiswahili Wikipedia).
  3. Give your campaign a name example "Feminism and Folklore 2024 on Kiswahili Wikipedia)".
  4. Select the start and end dates (note: keep your start date as Feb 1 and end date as March 31).
  5. Provide a description for your campaign (you can briefly describe the campaign in this section).
  6. Make sure to keep the checkboxes ticked for "Allow users to submit articles that were not created but expanded." if you want to use the campaign for expanded articles also.
  7. Keep minimum added bytes as 4000 and minimum added words as 400 and click next.
  8. In the jury section, keep the checkboxes ticked for "Allow jury members to participate in the campaign" and "Prevent jury members from seeing each other's votes." As per your preference.
  9. Under the jury search box, type the username of your jury and click on the "+" button to add; you can add multiple jury members.
  10. Click next to review and then click on save.

With this we have also created a Missing article tool. This tool identifies articles in the English Wikipedia that are absent from your native language Wikipedia. You can customize your selection criteria, and our tool will provide you with a table displaying the missing articles along with suggested titles. You also have the option to download the list in both CSV and wikitable formats.

Both tools, the Missing Article Tool and the Campwiz Tool, are now available for public use during the Feminism and Folklore campaign. You can find more information about these tools here: https://tools.wikilovesfolklore.org/

There are also some changes in the rules and criteria's. Please go through the rules below.

  1. Minimum Length: The expanded or new article should have a minimum of 4000 bytes or 400 words, ensuring sufficient depth and coverage of the chosen topic. The local organizers are free to choose the minimum length criteria as per needs of their local Wikipedia and must be clearly mention on local project page.
  2. Language Quality: Articles should not be poorly machine-translated, ensuring that language quality and readability are maintained at a high standard.
  3. Timeline of Creation or Expansion: The article should be created or expanded between 1 February and 31 March, aligning with the specified contest timeline.
  4. Theme Relevance: Articles should directly address the theme of feminism and folklore, exploring connections between gender, cultural traditions, and intangible heritage.
  5. No Orphaned Articles: Articles must not be orphaned, meaning they should be linked from at least one other article to ensure visibility within the Wikipedia ecosystem.
  6. No Copyright violations: There should be no copyright violations, and articles should adhere to local Wikipedia policies on notability, ensuring that the content meets the standards for notability.
  7. Adequate references and Citations: Each article should include proper references and citations following local Wikipedia policies, ensuring the reliability and credibility of the information presented.

Learn more about the contest details and prizes on our project page here. Should you require any assistance, please feel free to contact us on our meta talk page or via email.

We eagerly anticipate your enthusiastic coordination and participation in Feminism and Folklore 2024.

Thank you and Best wishes,

Feminism and Folklore 2024 International Team

--MediaWiki message delivery (majadiliano) 06:51, 18 Januari 2024 (UTC)Reply

Hello @MediaWiki message delivery,
we will be organizing an event in April to May.Currently we have a tight schedule.
Regards,
MagoTech Tanzania (majadiliano) 18:51, 3 Machi 2024 (UTC)Reply
Ndugu, sijui kama unahusika na Editathon ya leo, ila ni mbaya sana. Wanaharibuharibu makala nyingi. Inaonekana hawajui sarufi. Naomba wasimamishwe. Mimi nimewazuia wachache. Amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:51, 20 Aprili 2024 (UTC)Reply
Habari ndugu, hapana mimi na jumuiya yetu hatukuhusika na editathon tajwa. MagoTech Tanzania (majadiliano) 16:57, 27 Aprili 2024 (UTC)Reply

Submission Deadline for Winners' Information Feminism and Folklore 2024

hariri

Dear Organiser/Jury,

Thank you for your invaluable contribution to the Feminism and Folklore writing competition. As a crucial part of our jury/organising team, we kindly request that you submit the information of the winners on our winners' page. Please ensure this is done by June 7th, 2024. Failure to meet this deadline will result in your wiki being ineligible to receive the local prize for Feminism and Folklore 2024.

If you require additional time due to a high number of articles or need assistance with the jury task, please inform us via email or the project talk page. The International Team of Feminism and Folklore will not be responsible for any missed deadlines.

Thank you for your cooperation.

Best regards,

The International Team of Feminism and Folklore

Feminism and Folklores 2024 Organizers Feedback

hariri

Dear Organizer,

 

We extend our heartfelt gratitude for your invaluable contributions to Feminism and Folklore 2024. Your dedication to promoting feminist perspectives on Wikimedia platforms has been instrumental in the campaign's success.

To better understand your initiatives and impact, we invite you to participate in a short survey (5-7 minutes).

Your feedback will help us document your achievements in our report and showcase your story in our upcoming blog, highlighting the diversity of Feminism and Folklore initiatives.

Click to participate in the survey.

By participating in the By participating in the survey, you help us share your efforts in reports and upcoming blogs. This will help showcase and amplify your work, inspiring others to join the movement.

The survey covers:

  1. Community engagement and participation
  2. Challenges and successes
  3. Partnership

Thank you again for your tireless efforts in promoting Feminism and Folklore.

Best regards,
MediaWiki message delivery (majadiliano) 14:23, 26 October 2024 (UTC)

[Reminder] Apply for Cycle 3 Grants by December 1st!

hariri

Dear Feminism and Folklore Organizers,

We hope this message finds you well. We are excited to inform you that the application window for Wikimedia Foundation's Cycle 3 of our grants is now open. Please ensure to submit your applications by December 1st.

For a comprehensive guide on how to apply, please refer to the Wiki Loves Folklore Grant Toolkit: https://meta.wikimedia.org/wiki/Wiki_Loves_Folklore_Grant_Toolkit

Additionally, you can find detailed information on the Rapid Grant timeline here: https://meta.wikimedia.org/wiki/Grants:Project/Rapid#Timeline

We appreciate your continuous efforts and contributions to our campaigns. Should you have any questions or need further assistance, please do not hesitate to reach out: support@wikilovesfolkore.org

Kind regards,
On behalf of the Wiki Loves Folklore International Team.
Joris Darlington Quarshie (talk) 08:39, 9 November 2024 (UTC)

[Workshop] Identifying Win-Win Relationships with Partners for Wikimedia

hariri

Dear Recipient,
We are excited to invite you to the third workshop in our Advocacy series, part of the Feminism and Folklore International Campaign. This highly anticipated workshop, titled "Identifying Win-Win Relationships with Partners for Wikimedia," will be led by the esteemed Alex Stinson, Lead Program Strategist at the Wikimedia Foundation. Don't miss this opportunity to gain valuable insights into forging effective partnerships.

Workshop Objectives

hariri
  • Introduction to Partnerships: Understand the importance of building win-win relationships within the Wikimedia movement.
  • Strategies for Collaboration: Learn practical strategies for identifying and fostering effective partnerships.
  • Case Studies: Explore real-world examples of successful partnerships in the Wikimedia community.
  • Interactive Discussions: Engage in discussions to share experiences and insights on collaboration and advocacy.

Workshop Details

hariri

📅 Date: 7th December 2024
⏰ Time: 4:30 PM UTC (Check your local time zone)
📍 Venue: Zoom Meeting

How to Join:

hariri

Registration Link: https://meta.wikimedia.org/wiki/Event:Identifying_Win-Win_Relationships_with_Partners_for_Wikimedia
Meeting ID: 860 4444 3016
Passcode: 834088

We welcome participants to bring their diverse perspectives and stories as we drive into the collaborative opportunities within the Wikimedia movement. Together, we’ll explore how these partnerships can enhance our advocacy and community efforts.

Thank you,

Wiki Loves Folklore International Team

MediaWiki message delivery (majadiliano) 07:34, 03 December 2024 (UTC)