Mafua ya kawaida : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 13:
}}
 
'''Mafua ya kawaida''' pia yanajulikana kama ''(nasopharyngitis, rhinopharyngitis)'', pia mafua ya kuku, au pekee "mafua." Nini [[ugonjwa unaombukizawa kuambukizwa]] kirahisiunaoathiri sehemu ya juu ya [[mfumo wa kupumuaupumuaji]], hasa [[pua]] ambaona huathiri zaidi pua[[shingo]]. Dalili ni pamoja na [[kikohozi]], koo,utoaji anakamasi mafuapuani ''(rhinorrhea)'', na [[homa]]. Dalili kwa kawaida hupotea baada ya siku saba hadi kumi., Ingawaingawa baadhi ya dalili zake zinaweza zikakaa hadi wiki tatu. Kuna zaidiMafua ya kawaida husababishwa na [[virusi]] mbalimbali; zaidi ya mia mbili zinazowezazinajulikana kusababisha mafua ya kawaida. Virusi vya jamii ya rinovirusi ''(rhinovirus)'' ndio vinasababishi vikuu.
 
Maambukizo makali ya pua , mianzi ya pua , koo au zoloto (maambukizi ya sehemu ya juu ya njia ya hewa (URI au URTI)) inabainishwa na eneo la mwili ambao umeathirika zaidi. Mafua ya kawaida yanaathiri pua, yanavimbisha kolomeo, koo, na yanavimbisha mianzi ya pua. Dalili zinatokana na mfumo wa kinga unavyopambana na maambukizi na sio kwa sababu ya uharibifu wa seli mwilini unaoletwa na virusi. Kuosha mikono ni njia ya msingi ya kuzuia maambukizi. Kuna ushahidi unaounga mkono uvaaji kitamba usoni ni bora zaidi.