Tofauti kati ya marekesbisho "Walanyama"

31 bytes added ,  miezi 5 iliyopita
no edit summary
 
[[File:Brown Bear us fish.jpg|thumb|[[Dubu Kahawia]], mmoja kati ya walanyama wakubwa zaidi.]]
[[File:Trillium Poncho cat dog.jpg|thumb|[[Paka]] na [[mbwa]], [[wanyama wa nyumbani]] ni walanyama.]]
'''Walanyama''' (pia: '''Wagwizi'''; kwa [[Kilatini]]: '''Carnivora''') ni mpangilio wa kisayansi ambao hujumuisha aina zaidi ya 280 za [[wanyama]] wa [[ngeli]] ya [[mamalia|mamalia (wanaonyonyesha wadogo wao)]]<ref>Flynn, J. J.; Finarelli, J. A.; Zehr, S.; Hsu, J.; Nedbal, M. A. (April 2005). "Molecular phylogeny of the Carnivora (Mammalia): Assessing the impact of increased sampling on resolving enigmatic relationships". Systematic Biology 54 (2): 317–37. doi:10.1080/10635150590923326 . PMID 16012099</ref>.
 
Ukubwa wao unaanzia kwa [[vicheche]] wadogo kama (Mustela nivalis), mwenye [[gramu]] 25 na [[sentimeta]] 11, hadi [[dubu barafu]] (Ursus maritimus), ambaye anaweza kupima [[kilogramu]] 1,000, na [[Tembo-bahari]] wa kusini (Mirounga leonina), ambao [[wanaume]] wazima wanafikia kilogramu 5,000 (lb 11,000) na [[urefu]] wa [[mita]] 6.9 ([[futi]] 23).
 
Wengi wao hula [[nyama]] hasa, na hapa ikondiyo msingi wa [[jina]] la [[kundi]] "carnivora" (walanyama). Kuna pia [[spishi]] kama [[rakuni]] na [[dubu]] kadhaa ambao hula kila kituchochote, yaani nyama pamoja na [[matunda]], jozi, [[nafaka]] na [[majani]] kadhaa. Spishi chache zimekuwa [[walamani]] kama vile [[Panda|panda]] ambao ni dubu wanaokula [[mianzi]] pekee.
 
==Tazama pia==
*[[Walamani]]
*[[Walavyote]]
 
 
== Picha ==
Nandinia binotata, Manchester Museum.jpg
</gallery>
 
==Tazama pia==
*[[Walamani]]
*[[Walavyote]]
 
== Tanbihi ==
== Viungo vya nje ==
{{commonscat|Carnivora}}
 
{{mbegu-biolojia}}