Msimbo chanzo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Hello World Python Swahili.png|thumb|264x264px|Msimbo chanzo kwa kuchapa "Jambo ulimwengu" kwenye [[Python (Lugha ya programu)|Python]].]]
Katika [[utarakilishi]], '''msimbo chanzo''' (kwa [[Kiingereza]]: ''source code'' au ''source file'') ni [[waraka]] unamoandikwa [[msimbo]] wa [[Programu ya kompyuta|programu]] kwenye [[lugha ya programu]]. Msimbo chanzo unatumiwa na [[Mwanaprogramu|wanaprogramu]] ili kuumba [[Programu tete|programu]] ya [[tarakilishi]].
 
== Marejeo ==
 
* Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. ''Kioo cha Lugha'', ''5''(1).
 
{{tech-stub}}
[[Jamii:Teknolojia]]
[[Jamii:Kompyuta]]
[[Jamii:Lugha za programu]]