Agnes wa Roma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Santa Agnese - mosaico Santa Agnese fuori le mura.jpg|thumb|right|[[Nakshi]] za [[mawe]] za Agnes Mtakatifu katika [[kanisa]] la "Santa Agnese fuori le mura" huko Roma.]]
'''Agnes''' (alifariki [[Mji|mjini]] [[Roma]], [[Italia]], [[304]]) alikuwa [[bikira]] mwenye [[umri]] wa miaka 12 aliyekataa kuolewa kwa sababukutokana yana [[imani]] yake ya [[Ukristo|Kikristo]].
 
Kwa sababu hiyo aliteswa [[Kifodini|akauawa]] ama mwaka [[250]] ama mwaka [[304]] [[Mji|mjini]] [[Roma]], [[Italia]], wakati wa [[dhuluma]] ya [[Dola la Roma]] dhidi ya Wakristo.
 
Habari zake hazieleweki waziwazi kama aliishi wakati wa [[Kaisari Decius]] au wakati wa Kaisari [[Diokletian]] ambao wote wawili waliamuru mateso ya Wakristo, lakini mwelekeo wa [[wanahistoria]] ni kukubali jibu hilo la pili.
Tangu kale anaheshimiwa kamana [[mtakatifuWakatoliki]]. na [[SikukuuWaorthodoksi]] yake nikama [[21 Januarimtakatifu]].
 
[[Sikukuu]] yake ni [[tarehe]] [[23 Januari]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==
Line 13 ⟶ 15:
*[[Orodha ya Watakatifu wa Afrika]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
==Tanbihi==
{{reflist}}
 
==Viungo vya nje==
Line 28 ⟶ 33:
{{mbegu-Mkristo}}
 
{{DEFAULTSORT:Agnes wa Roma}}
[[Jamii:Waliozaliwa 291]]
[[Jamii:Waliofariki 304]]