Agnes wa Roma
Agnes wa Roma (alifariki mjini Roma, Italia, 304) alikuwa bikira mwenye umri wa miaka 12 aliyekataa kuolewa kutokana na imani yake ya Kikristo.
Kwa sababu hiyo aliteswa akauawa wakati wa dhuluma ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo.
Habari zake hazieleweki waziwazi kama aliishi wakati wa Kaisari Decius au wakati wa Kaisari Diokletian ambao wote wawili waliamuru mateso ya Wakristo, lakini mwelekeo wa wanahistoria ni kukubali jibu hilo la pili.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 21 Januari[1].
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririWikisource ina maelezo kamili yahusianayo na makala hii:
Wikisource has the text of the 1911 Encyclopædia Britannica article Agnes, Saint. |
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- The Life of St. Agnes of Rome, Virgin & Martyr of the Catholic Church Ilihifadhiwa 16 Februari 2015 kwenye Wayback Machine.
- NewAdvent.org, Catholic Encyclopedia: St Agnes of Rome
- Satucket.com, St. Agnes of Rome
- Blogspot.com, St Agnes in literature
- Aug.edu Ilihifadhiwa 21 Februari 2012 kwenye Wayback Machine., "St. Agnes" in Christian Iconography
- "Of Saint Agnes" Ilihifadhiwa 13 Juni 2011 kwenye Wayback Machine. from the Caxton translation of the Golden Legend
- Remarks on the feast of St. Agnes Ilihifadhiwa 14 Juni 2011 kwenye Wayback Machine. from St. Ambrose of Milan, On Virgins
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |