Wikipedia:Mwongozo (Kumbuka) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Kuonya na kubana
Mstari 66:
:(unaweza pia kubofya alama ya [[File:Kielekezo alama.png]] na kuingiza jina la ukurasa husika uliopo tayari , katika mfano "Cote d'Ivoire". Kila anayetafuta "Aivori Kost" atafika "Cote d'Ivoire")
 
==Kuonya na kubana==
Kwa bahati mbaya tunakuta mara kwa mara wachangiaji wasiofuata ushauri na kuleta makala zisizolingana na kanuni zetu. Wakabidhi wa wikipedia hii wanajaribu kuwashauri, kama lazima pia kuwaonya. Wasipofuata maonyo, wanaweza kubanwa kwa muda fulani au milele. Kila mwanawikipedia ana haki ya kupinga kama amebanwa. Kimsingi wakabidhi wanajaribu kufuata kanuni zinazoelezwa kwa Kiingereza hapa [[:simpe:Wikipedia:Blocks_and_bans]] (kwa kifupi katika simple.wikipedia) au hapa [[:en:Wikipedia:Blocking_policy]] (kwa kirefu, enwiki).
[[Jamii:Mwongozo wa Wikipedia|*]]