Faharasa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Fasti ecclesiae Anglicanae Vol.1 index of names.djvu|thumb|349px|Farahasa ya majina katika kitabu ya Kilatini.]]
'''Faharasa''' (pia '''faharisi''', kutoka ar.[[Kiarabu]]: <big>الفهرس</big> ''al-faharas''; kwa [[Kiingereza]]: ''glossary'', ''index'') ni [[orodha]] ya [[mada]] au [[Jina|majina]] yaliyomo katika [[kitabu]] pamoja na [[ukurasa|kurasa]] vinapopatikana.
 
Inataja pia orodha ya maneno pamoja na maelezo mafupi ya maana yake. Inaweza kukusanya maneno mapya au magumu ya kitabu ambayo yanaelezwa maana zake. Faharasa kwa maana hiyo inapatikana kwa kawaida katika kurasa za mwisho za kitabu.
 
Faharasa inaweza kutaja pia orodha ya yaliyomo inayopatikana mara nyingi kwenye kurasa za mwanzo za kitabu, lakini inategemea [[desturi]] ya [[lugha]] husika.
 
== Viungo vya Nje ==
 
{{Wiktionary|glossary}}
* [https://web.archive.org/web/20060320132442/http://www.glossarist.com/ glossarist.com: The Glossarist] - Large list of glossaries
* [https://web.archive.org/web/20050915123957/http://www.ontopia.net/topicmaps/materials/tao.html www.ontopia.net: The TAO of Topic Maps]
* [https://web.archive.org/web/20080820180152/http://www.babel-linguistics.com/glossaries.htm www.babel-linguistics.com: Babel Linguistics Glossaries] Selected Multilingual Glossaries by Industry
{{mbegu-elimu}}
[[Jamii:Teknolojia]]
 
[[Jamii:Elimu]]
[[Jamii:Fasihi]]