Tako la bara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tako la bara.png|thumb|350px|right]]
[[Image:Elevation.jpg|thumb|400px350px|Ramani ya dunia; sehemu za bahari ya takoni zaonyeshwa kwa buluu nyeupe]]
'''Tako la bara''' ([[ing.]] ''[[:en:continental shelf|continental shelf]]'') ni sehemu ya [[bara]] iliyoko chini ya maji ya [[bahari]]. Sehemu ya bahari hadi ya kina cha maji cha mita 200 huitwa "bahari ya takoni". Kwa wastani lina upana wa 70 – 80 km. Lakini kuna matako yenye upana wa kilomita zaidi ya 1,000 kama huko [[Siberia]] au nyembamba sana kama huko [[Kenya]].