Quest for Camelot : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+kutia nyama kidogo
No edit summary
Mstari 15:
| bajeti = Dola milioni 40
| mapato = $22,510,798 (USA)
| last =
}}
'''''Quest for Camelot''''' (ilitolewa Uingereza kama '''''The Magic Sword: Quest for Camelot''''') ni [[filamu]] ya katuni yenye maudhui ya kifantasia ambayo ilitoka mwaka wa [[1998]] huko nchini [[Marekani]]. Ndani yake zinakuja sauti za waigizaji kama vile [[Jessalyn Gilsig]], [[Cary Elwes]], [[Jane Seymour]], [[Gary Oldman]], [[Eric Idle]], [[Don Rickles]], [[Pierce Brosnan]], [[Bronson Pinchot]], [[Jaleel White]], [[Gabriel Byrne]], [[John Gielgud]], na [[Frank Welker]], kukiwa na sauti za kuimba kutoka kwa [[Céline Dion]], [[Bryan White]], [[Steve Perry]], na [[Andrea Corr]]. Filamu hii inatoka na riwaya ya ''[[The King's Damosel]]'' ya [[Vera Chapman]].