Mwakanuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 10:
 
Tukiangalia nyota ambazo ni mbali sana, nuru yao imesafiri miaka mielfu. Kwa darubini tunaona nyota ambazo nuru yao imeshapita miaka mamilioni. Inawezekana kwamba nyota kadhaa tunazoona hazipo tena. Hasa tukizingatia nyota kubwa sana zilizo mbali uwezekano ni mkubwa kwamba zimelipuka tayari<ref>[https://www.forbes.com/sites/startswithabang/2016/08/20/ask-ethan-how-many-stars-in-the-night-sky-still-exist/#763583de62eb How Many Stars In The Night Sky Still Exist?], tovuti ya Forbes, Aug 20, 2016</ref>.
 
==Vizio vingine katika astronomia==
Wataalamu wengi wa astronomia hupendelea kutumia kizio cha [[parsek]] kinacholingana na miakanuru 3.26; inafafanuliwa kama umbali ambako pande mbili za obiti ya Dunia yetu ya kulizunguka Jua zinaonekana kwa kwa pembe ya [[sekunde ya tao]] 1. Kwa umbali ndani ya mfumo wa Jua kuna pia "kizio astronomia" (astronomical unit) ambayo ni sawa na umbali wa wastani kati ya Dunia na Jua.
 
==Angalia pia==