Mwakanuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 9:
Hali halisi hatuoni nyota jinsi zilivyo "sasa" lakini jinsi zilivyokuwa wakati uliopita kutegemeana na umbali wao. Nyota jirani kabisa na [[jua]] letu inaitwa [[Alpha Centauri]] umbali wake ni 4.2 mwakanuru maana yake nuru yake inahitaji zaidi ya miaka minne hadi imefika kwetu. Kwa maana nyingine tunaiona nyota hii jinsi ilivyoonekana miaka minne iliyopita.
 
Tukiangalia nyota ambazo niziko mbali sana, nuru yaoyake imesafiri miaka mielfuelfu kadhaa. Kwa darubini tunaona nyota ambazo nuru yaoyake imeshapita miaka mamilionimilioni kadhaa. Inawezekana kwamba nyota kadhaa tunazoona hazipo tena. Hasa tukizingatia nyota kubwa sana zilizo mbali uwezekano ni mkubwa kwamba zimelipuka tayari<ref>[https://www.forbes.com/sites/startswithabang/2016/08/20/ask-ethan-how-many-stars-in-the-night-sky-still-exist/#763583de62eb How Many Stars In The Night Sky Still Exist?], tovuti ya Forbes, Aug 20, 2016</ref>.
 
==Vizio vingine katika astronomia==
[[Wataalamu]] wengi wa astronomia hupendelea kutumia kizio cha [[parsek]] kinacholingana na miakanuru 3.26; inafafanuliwa kama umbali ambako pande mbili za obiti ya Dunia yetu ya kulizunguka Jua zinaonekana kwa pembe ya [[sekunde ya tao]] 1. Kwa umbali ndani ya mfumo wa Jua kuna pia "[[kizio astronomia]]" (ing. astronomical unit) ambayo ni sawa na umbali wa wastani kati ya Dunia na Jua.
 
==Angalia pia==