Felicien Kabuga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Félicien Kabuga hadi Felicien Kabuga
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Félicien Kabuga.jpg|250px|thumb|Felicien Kabuga ]]
 
'''Felicien Kabuga''' (amezaliwa 19 Julai 1935) ni mfanyabiashara wa Rwanda, anayeshtumiwa kwa kugharamia na kushiriki katika [[Mauaji ya kimbari ya Rwanda|mauaji ya kimbari]] ya [[Mauaji ya kimbari ya Rwanda|Rwanda]] . <ref>{{Cite web|url=https://improb.com/top-most-wanted-criminals-in-the-world/|title=Top 10 Most Wanted Criminals in the World 2018|date=2017-12-18|work=Improb|language=en-US|accessdate=2019-11-21}}</ref>