Interahamwe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Interahamwe"
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Flag of the Rwandan Democratic Movement.svg|thumb|Bendera ya Interahamwe]]
'''Interahamwe''' ilikuwa kundi la wanamigambo lililoanzisha [[Mauaji ya kimbari ya Rwanda|mauaji ya kimbari]] nchini [[Rwanda]] mnamo 1994. Katika mauaji haya, takriban milioni moja ya raia, hasa [[Watutsi]] na pia [[Wahutu]] wasioshikamana nao, waliuawa.
 
Interahamwe ilianzishwa mnamo 1990 kama tawi la vijana la National Republican Movement for Democracy and Development (MRND kwa kifupi chake cha Kifaransa).
 
Interahamwe walifukuzwa Rwanda na jeshi la Rwandan Patriotic Front (RPF) katika vita ya wenyewe kwa wenyewe ya Julai 1994. Wametangazwa kuwa kundi la kigaidi na serikali nyingi za Afrika na kimataifa. Interahamwe na makundi yaliyotokana nao wananendelea kupiga vita ya msituni dhidi ya Rwanda kutoka vituo vyao katika nchi jirani.
 
== Mbinu ==
Interahamwemara nyingi walitumia mapanga ( 'mupanga' kwa [[Kinyarwanda]]) kwa kutekeleza mauaji, lakini [[Silaha za moto|bunduki]], mabomu na zana mengine zilitumika.
 
[[Jamii:Rwanda]]