Desibeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Decibel"
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Desibel''' (kifupi '''dB''', kutoka ing. ''decibel'') ni kizio cha [[upimaji]] wa nguvu au ukali. Kinalinganisha vipimo viwili kwa kutumia logi
 
Matumizi yake ni hasa katika upimaji wa [[sauti]] na kaitkakatika teknolojia ya [[umeme]] kwa kutaja nyongeza au kupungukiwa kwa volteji au sauti.
 
Kizio cha kimsingi ni "bel" na desibel ni sehemu yake ya kumi.
Mstari 7:
Nyongeza ya desibeli 3 inalingana takriban na kuzidisha nguvu mara mbili.
 
Kizio cha kimsingi cha bel kilipata jina lake kwa kumbukukbukumbukumbu ya [[Alexander Graham Bell]] aliyekuwa mmoja wa wabunifu wa simu.
 
Mara nyingi, desibeli hutumiwa kutaja ukubwa wa [[sauti]] kulingana na jinsi tunavyoisikia.
Mstari 35:
| 120 dB
| Tarumpeta ya Vuvuzela (kwa umbali wa mita 1), hatari ya uharibifu wa sikio
|-
|
|
|-
|
|
|-
| 80-90 dB