Cristiano Ronaldo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 197.186.4.203 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Innocent Massawe
Tag: Rollback
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 1:
[[Picha:Cristiano Ronaldo (5275363527).jpg|alt=|thumb|298x298px|Cristiano Ronaldo akichezea timu ya [[Real Madrid]]]]
'''Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro''' GOIH, ComM ([[matamshi]] ya [[Kireno]]: [kɾiʃ'tjɐnu ʁunaɫdu]; alizaliwa kwenye [[kisiwa]] cha [[Madeira]], [[Ureno]], [[5 Februari]] [[1985]]) ni [[mchezaji]] [[soka]] wa [[Ureno]]. Nafasi yake ni [[ushambuliaji]]; kwa sasa anacheza nchini [[Italia]Tanzania] katika [[klabu]] ya [[JuventusYanga]] na [[Timu ya taifa|timu yake ya taifa]].
 
Mara nyingi huchukuliwa kuwa mchezaji bora [[duniani]] na kuonekana kuwa mmojawapo kati ya wachezaji wazuri wa nyakati zote. Ronaldo ana [[tuzo]] tano za FIFA Ballon d'Or, ambayo ni zaidi ya mchezaji yeyote wa bara [[Ulaya]], na ni mchezaji wa kwanza katika [[historia]] kushinda mara nne [[viatu vya dhahabu]].