Akwila na Priska : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 11:
Kati ya watu walioinjilishwa nao, muhimu zaidi ni [[Apolo]], Myahudi msomi wa [[Aleksandria]], [[Misri]] (Mdo 18:36).
 
Wanaheshimiwa na [[madhehebu]] mengi kama [[watakatifu]]. Kama vile [[Agano Jipya]] linawataja daima pamoja, [[sikukuu]] yao inawaadhimisha daima kwa pamoja ingawa tarehe ni tofautitofauti, kadiri ya madhehebu. Kwa [[Wakatoliki]] ni hasa tarehe [[8 Julai]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==