Bartolomea Capitanio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Bartolomea Capitanio''' ([[13 Januari]] [[1807]] - [[26 Julai]] [[1833]]) alikuwa [[mwanamke]] wa [[Italia]] kaskazini]] ambaye, pamoja na [[Visensya Gerosa]], alianzisha [[shirika]] la [[Masista wa Upendo wa Lovere]], ambao kwa kawaida wanaitwa [[Masista wa mtoto Maria Mtoto]].
 
==Maisha==
Bartolomea alizaliwa katika [[kijiji]] hicho cha [[Lovere]], [[Mikoa ya Italia|mkoani]] [[Lombardia]].
 
Alipokutana na Visensya waliungana kupambana na [[ujinga]] na [[ufukara]] wa [[watu]] wa eneo lao.
 
[[Mwaka]] [[1833]] walisaini [[hati]] ya kuanzisha shirika, lakini baada ya miezi tu alifariki.
 
Hata hivyo Visensya aliendeleza shirika lao kwa miaka mingi akafariki mwaka [[1847]] hukohuko Lovere.
 
Wote wawili walitangazwa [[wenye heri]] na [[Papa Pius XI]] [[tarehe]] [[30 Mei]] [[1926]], halafu [[watakatifu]] na [[Papa Pius XII]] tarehe [[18 Mei]] [[1950]].
 
[[Sikukuu]] ya Bartolomea inaadhimishwa kila mwaka tarehe [[26 Julai]]<ref>[[Martyrologium Romanum]]</ref>.
 
==Tazama pia==
Mstari 30:
{{commons}}
 
{{mbegu-Mkristo}}
{{DEFAULTSORT:Capitanio, Bartolomea}}
 
Line 37 ⟶ 38:
[[Category:Watawa waanzilishi]]
[[Category:Watakatifu wa Italia]]
 
{{mbegu-Mkristo}}