Upepo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
File
Mstari 1:
[[File:Pieter_Kluyver_-_Boom_in_stormwind.jpg|thumb|Pieter Kluyver (1816–1900)]]
[[Picha:Vind i vand.jpg|thumb|250px|Alama za upepo usoni kwa maji]]
'''Upepo''' ni mwendo wa [[hewa]]. Husababishwa na joto la jua. Hewa ikipashwa joto na jua hupanuka huwa nyepesi na kupanda juu. Hivyo inaacha nafasi ambako hewa baridi zaidi inaingia kuchukua nafasi yake.